Monday, March 16, 2015
JINSI YA KUWEKA THEMES KWENYE SIMU ZA ANDROID
Uzuri wa android kwa kifupi hauna mwisho. Wengi tumeanza kuona utumikaji wa themes kwenye android hasa kwenye CYANOGENMOD ROM.
Kwa kifupi cyanogenmod ndio imeanza kutumia themes kubali muonekano wa simu bila hata ku root simu yako.
Kwa wale ambao hawajui cyanogen ni mfumo ambao unatumika kwenye simu kama ilivyo android au IOS.
Cyanogen imetoka kwenye android na inafwata misingi ya android kama kuwa open source. Nikisema open source na maanisha kwamba ni free na pia kama wewe ni programmer unaweza kutumia code zao bure na kuzindua mfumo wako mwenyewe.
JINSI YA KUWEKA NA KUTUMIA THEMES Kchini
SIMU ZA ANDROID
STEP 1
Cha kwanza kabisa unatakiwa uwe unatumia mfumo wa cyanogenmod kwenye simu yako. Ili kuweza kutumia cyanogen mod unatikiwa uweke rom ya cyanogen. Kwa mfano mimi natumia CyanogenMod 12 ambayo ni android 5+. Kuelewa zaidi tazama picha chini
STEP 2
Download themes mbali mbali kisha install kwenye simu yako
Mfano wa kwanza
ORANGE DARK THEME
Huo hapo juu ndio muonekano wa orange dark theme. Unaweza download orange dark theme kwa kutumia link chini
http://forum.xda-developers.com/android/themes/orange-dark-material-cm12-theme-t3008314
Mfano wa pili
RED THEME
Huo hapo juu ndio muonekano wa red theme. Unaweza download Red theme kwa kutumia link chini.
http://forum.xda-developers.com/attachment.php?attachmentid=3122603&d=1421657958
Themes zipo nyingi sana na kama unataka kujaribu themes tofauti tofauti tembelea link chini
http://forum.xda-developers.com/android/themes/0-official-mega-cm12-theme-engine-t3006466
Endapo wewe utapenda kuwekewa CYANOGEN MOD kwenye simu yako basi utatakiwa kulipia kiasi cha Tsh 25000. Piga simu namba +255716203029
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment