Tuesday, March 10, 2015

JINSI YA KUWEKA HTC BLINKFEED KWENYE SIMU ZA ANDROID


Htc Blinkfeed ni application ambayo inakupa habari mbalimbali pia vitu vinavyotokea kwenye mitandao yako ya kijamii.

Htc Blinkfeed ilikuwa inatumika tu kwenye za HTC na ilikuwa haiwezekani kutumia htc blink feed kwenye Samsung, LG, Sony,Huawei , Tecno etc.



Kwa sasa unaweza kutumia Htc blinkfeed kwenye simu ambazo si HTC. Ili uweze kutumia HTC Blinkfeed inabidi uwe unatumia android 4.4 au zaidi

JINSI YA KUWEKA HTC BLINKFEED KWENYE SIMU ZA ANDROID.

STEP 0
Hakikisha simu yako inatumia android 4.4 au zaidi

STEP 1
Download Htc blinkfeed kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
https://mega.co.nz/#!TRVFULrT!gHErL_KsZbAiekNuP768W_DzTMhF0U2L3SOT2AfmnX0

STEP 2
Download Htcservicepack kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
https://mega.co.nz/#!yYlCSQDJ!0qpx1PSqhUe9CmPE7tbCAqNhag55vH2VgIDmryX9ujw

STEP 3
Download htc weather app kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
https://mega.co.nz/#!jM9nwarB!meoFA3vv_X1VL14eJyGVVZbYJI6YFDDbOnS8FEZwL_w

STEP 4
Download HTC world clock kwa kutumia  kisha install kwenye simu yakoyako
https://mega.co.nz/#!6QlRXZYa!bPZN_0kXwCUwdMnhSOvWVoO1lUOIm5Ag5AB3W5xzEWY

STEP 5
Download blinkmanager kwenye play store kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yakoyako
https://play.google.com/store/apps/details?id=gaku.app.blinkmanager


STEP 6
Chagua HTC blinkfeed kuwa launcher itakayotumika kwenye simu

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka htc blinkfeed kwenye simu yako. Picha chini zinaonyesha muonekano wa htc blinkfeed kwenye simu yangu.









No comments:

Post a Comment