Wednesday, March 11, 2015

MUONEKANO MPYA WA NOVA LAUNCHER


Wengi tunafahamu nova launcher na pia watumiaji wengi wa android hupendelea kutumia sana Nova Launcher kwa kuwa ipo fast na huifanya simu kuwa na muonekano mzuri.

Nova Launcher mpya tayari imeshatoka na imekuwa na muonekano tofauti ambao ni mzuri zaidi kushinda ule ambao tumeuzoea wengi.



Nova launcher sasa imepata muonekano wa material design na vingi vimebadilishwa kama rangi, icon, animation etc. Mtu yeyoyote anayetumia Android 4.1  au zaidi ataweza kutumia Nova Launcher mpya.

Download Nova Launcher mpya kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
http://www.apkmirror.com/wp-content/themes/APKMirror/download.php?id=6645

Picha chini zikionyesha muoenekano mpya wa nova launcher








No comments:

Post a Comment