Sony Walkman ni moja ya application ambayo huwa inawekwa kwenye simu za sony kwa ajili ya music. Sony Walkman ni app ambayo inasifika sana kwa ku-play high quality sound kwenye earphone au headphones.
Leo tutaangalia jinsi ya kuweka Sony Walkman kwenye simu ambazo zina tumia android kuwanzia 4.2 na kuendelea. Ili kuweza kuweka Sony Walkman kwenye simu yako unatakiwa uwe tayari ume root simu yako na uwe umeweka custom recovery (cwm or twrp)
VIGEZO NA MASHARTI
- ROOT SIMU YAKO
- CUSTOM RECOVERY
- ANDROID 4.2+
- MIMI SITAHUSIKA ENDAPO UTAARIBU SIMU YAKO
STEP 0
Kabla ujafanya chochote unatakiwa ufanye backup ya simu yako. Ili kuweza kufanya backup unatakiwa uwe umeweka custom recovery kwenye simu yako.
STEP 1
Download Sony Walkman Z3 kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako
STEP 2
Download Z3W_New_Buildprop_Tweak_for_v3.5.zip kwa kutumia link chini kisha liweke hilo file kwenye memory card ya simu yako
http://www.mediafire.com/download/h2r3up081eiu2nw/Z3W_New_Buildprop_Tweak_for_v3.5.zip
STEP 3
Zima simu yako, kisha washa simu yako kwenye recovery mode. Kisha nenda kwenye kipengele kinachosema install zip ki flash Xperia_Z3_WALKMAN_v3.6_Beta ambalo ume download kwenye step 0. Baada ya kumaliza flash tena Z3W New Buildprop Tweak for v3.5
STEP 4
Wipe Cache Partition kisha washa simu yako
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka Sony Walkman kwenye simu zinazo tumia android 4.2 na kuendelea.
Kama unataka kuwekewa custom recovery kwenye simu yako au unataka ku-root simu yako na haujui ufanyaje unaweza wasiliana nasi kwa kupiga namba +255716203029 na gharama zitatozwa kiasi cha Tsh 25000 tu
Kwa wale wanaopenda blog yetu na wanataka tuendele zaidi basi usiache kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz
No comments:
Post a Comment