Sunday, May 31, 2015
MUONEKANO MPYA WA GOOGLE PHOTOS
Google Photos ni app ambayo inakusaidia kuhifadhi picha zako online na unaweza kuziona wakati wowote kwa kutumia computer, smartphone na Tablet. Moja ya faida kubwa ya Google Photos ni kuhifadhi picha zako na endapo simu yako itapotea utaweza kuzirudisha picha zako zote.
Kwa wale wanaotumia simu za android unaweza download Google Photos app kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako
http://www.apkmirror.com/wp-content/themes/APKMirror/download.php?id=13555
JINSI YA KUTUMIA GOOGLE PHOTOS
STEP 0
Download kisha install Google Photos
STEP 1
Fungua Google Photos kisha chagua ON kwenye kipengele kinachosema BACKUP PHOTOS pamoja na kipengele kinachosema USE CELLULAR DATA TO BACK UP kisha bonyeza continue
STEP 2
Chagua kipengele kinachosema high quality (free unlimited storage) kisha bonyeza continue
Hakikisha account sync kwenye simu yako ipo on. Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa ku backup picha zako online na hata ukipoteza simu utaweza kuzirudisha picha zote.
Picha chini zinaonyesha muonekano mpya wa google photos
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment