Android inazidi kutapakaa kwa kasi kila kukicha huku play store ikiwa inaongoza kuwa na apps nyingi kuzidi ile ya mpinzani wake (apple). Simu za android zina mambo mengi sana moja wapo ikiwa uwezo wa kubadili wallpaper na kuifanya simu yako iwe na muonekano mzuri
Leo tutaona jinsi ya ku-download wallpaper mbalimbali na kuweza kuzitumia kwenye simu bila kusumbuka sana. Zipo apps nyingi sana kwenye play store ambazo zitakuwezesha kuchagua wallpaper unayoitaka na kuweika kwenye simu ndani ya sekunde tano tu.
Nenda kwenye play store kisha tafuta (search) app inayoitwa papers.co kama inavyo onekana kwenye picha chini
Baada ya ku-download na kuiweka kwenye simu yako, ifungue hiyo app kisha utaona picha nyingi sana ambazo ni new. Endapo utapenda picha yeyote basi ibonyeze. Kwa mfano mimi nimependa picha ya kungfu-panda kisha nikaibonyeza na kupata muonekano kama picha chini
Baada ya hapo nitachagua kipengele kinachosema Set Wallpaper na picha hiyo itakuwa kama wallpaper kwenye simu yangu kama inavyo onekana chini
Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kubadilisha wallpaper kwenye simu yako kwa njia rahisi bila kupoteza muda. Kama umependa blog yetu unaweza kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz ili kuendelea kujua mambo mazuri kuhusu simu yako ya android

No comments:
Post a Comment