Wednesday, November 18, 2015

SAMSUNG GALAXY NOTE 5 MBIONI KUPATA ANDROID 6.0 (MARSHMALLOW)

Samsung Galaxy Note 5 ipo mbioni kuwa moja ya smartphone ya kwanza kutoka Samsung ambayo itakuwa inatumia Android 6.0 (Marshmallow). Wale wenye Samsung Galaxy S6, Note 4, S5 msikate tamaa kuisubiri Android 6.0.

Mpaka sasa simu ambazo zinatumia android 6.0 ni Nexus 6P, Nexus 5X, LG G4. Tembelea link chini kujua simu zote zinazotumia Android 6.0 na zile zinazotarajiwa kutumia android 6.0
http://phonetricktz.blogspot.com/2015/10/hizi-ndizo-simu-zinazotumia-android-60.html

Mambo yaliyo badilika kwenye Samsung Galaxy Note 5 inayotumia android 6.0 ni User interface (UI). Tazama picha chini kuona muonekano wa Samsung Galaxy Note 5 inayotumia 6.0.









Samsung wanatarajia kuiachia hii update mwezi December lakini kama wewe hutaki kusubiri mdaa wote huo unaweza kuandika maoni yako chini pamoja na namba yako ya simu kupata maelekezo jinsi ya kuweka Android 6.0 kwenye Galaxy Note 5.

Usisahau kutufwata kwenye instagram kupitia phonetricktz kuendelea kupata habari za simu zinazotumia android.

No comments:

Post a Comment