Saturday, March 12, 2016

HIZI NDIZO SIMU AMBAZO UNAWEZA KUWEKA ANDROID N KWA SASA.

Android N ikiwa karibuni kuzinduliwa, Google wameandaa Android N beta preview ambazo unaweza kuweka kwenye baadhi ya simu ili kupata au kujua jinsi android n itakavyokuwa.

Wengi wetu tuna shauku kubwa kujua jinsi gani unaweza kufanya ili kuweza kutumia na wewe Android N beta preview kwenye simu yako. Kwa sasa zipo baadhi ya simu ambazo zinaweza kutumia Android N beta preview. Kama wewe unatumia Tecno tafadhali kuwa mvumilivu kidogo lakini kama wewe ni mmoja unaye tumia simu zifwatazo basi utaweza kuweka Android N beta preview kiurahisi kama kunywa chai.

  • Nexus 5X
  • Nexus 6
  • Nexus 6P
  • Nexus 9 Wi-Fi
  • Nexus 9 LTE
  • Pixel C
  • Nexus Player
  • General Mobile 4G (Android One)


Kama unataka kujua Android N ina mambo yapi mapya basi tembelea link chini
http://phonetricktz.blogspot.com/2016/03/android-n-toleo-jipya-la-android-baada.html

No comments:

Post a Comment