Saturday, October 8, 2016

JINSI YA KUWEKA PLAYSTORE KWENYE SIMU ZA KICHINA NA ZILE AMBAZO HAZINA PLAYSTORE

Simu nyingi zinatoka china au zile ambazo zimetengenezwa kwa ajili ya kutumika china huwa hazina Google Account na kupelekea kushindwa kutumia apps za google kama Youtube, Google Playstore, Maps etc.

Leo tutaona jinsi ya kuweka Google Account kwenye simu za android ambazo hazina Google Account. Endapo utafanikiwa kuweka Google Account basi simu yako itaweza kutumia apps za google kama Playstore, Youtube, Google maps, Google Calendar, Google photos etc.

Cha kwanza unachotakiwa kufanya kabisa ni ku-download file kwa kutumia link chini kisha lifungue hilo file na ndani yake utakuta mafile yafuatoyo Google Account manager, Google Play Services, Google Services Framework, Vending.apk, pamoja na Google Play Store
https://drive.google.com/file/d/0B3yLoupCwoyrSzJEMHc3UTkzam8/edit

Weka Google Account manager , kisha baada ya kumaliza weka tena Google Services Framework kisha install tena Google Play Services halafu zima na kuwasha simu yako (restart)

Baada ya simu yako kuwaka install Vending.apk halafu install google play store. Ili kuakiki kama Google Account imeingia kwenye simu yako, nenda kwenye setting kisha account na utaiona Google Account. Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa kuweka google account kwenye simu yako na utaweza kutumia apps za google kama Youtube, Google Playstore, Maps etc.

Mpaka hapo tumefikia mwisho, Kama umependa kazi zetu usiache kulike our facebook page, na unaweza kutufwata kwenye instagram yetu kupitia jina la phonetricktz.

No comments:

Post a Comment