Monday, February 27, 2017

LG G6 KIPI UNACHOTAKIWA KUJUA..

LG G6 ni toleo jipya la smartphone kutoka LG. Kiukweli LG G6 imekuja vikali kupambana na smartphone nyingine ambazo zitatoka mwaka 2017 kama Samsung Galaxy S8.

LG G6 imejipanga vikali kuanzia kwenye software, battery, hardware, camera na kama hiyo haitoshi basi LG G6 ni water resistance (haingii maji). Chini nimetoa maelezo ya kila kitu kilichopo kwenye LG G6.

Operating System Android 7.0 Nougat
Display 5.7-inch LCD
2880x1440
Gorilla Glass 3
Dolby Vision, HDR 10
Processor Qualcomm Snapdragon 821 (MSM8996)
Storage 32GB (U.S., Europe)
64GB (Asia, Korea, Hong Kong, India, CiS)
Expandable microSD up to 2TB
RAM 4GB
Camera (Main) 13MP (IMX258), 1.12µm pixels, f/1.8, OIS
71-degree lens, phase-detect AF
Camera (Wide) 13MP (IMX258), 1.12µm pixels, f/2.4
125-degree lens, fixed focus
Front Camera 5MP, f/2.2
100-degree lens
Connectivity Wi-Fi 802.11ac, Bluetooth 4.2 LE, NFC
USB-C 3.1
Audio 32-bit Hi-Fi Quad DAC (Asia only)
Battery 3300mAh
Non-removable
Charging USB-C
Quick Charge 3.0
Qi wireless (U.S.)
Water resistance IP68
Security One-touch fingerprint sensor
Dimensions 148.9 x 71.9 x 7.9 mm
Colors Black, white, platinum
Pia unaweza kutazama video inayoelezea kiundani zaidi kuhusu LG G6.



Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ya phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu

No comments:

Post a Comment