Sunday, June 15, 2014

IFANYE SAMSUNG GALAXY NOTE 2 IWE KAMA GALAXY NOTE 3



Kama wewe ni mmoja wa watumiaji wa Samsung Galaxy Note II GT-N7100, N7105 basi unaweza ukaibadilisha simu yako na kupata muonekano wa Samsung Galaxy Note 3.

Kupitia DN3 (Ditto Note 3) ROM itakuwezesha kuifanya Samsung Galaxy Note II GT-N7100, N7105 kupata muonekano wa Samsung Galaxy Note 3.

Kabla uja flash hii rom unatakiwa uwe na custom recovery kwenye simu ambayo itakuweza kufanya backup na kuflash  DN3 (Ditto Note 3) ROM. Bila custom recovery itakuwa ni ndoto kuifanya Samsung Galaxy Note II iwe kama Galaxy note 3

Maelekezo ya kuweka custom recovery kwenye Samsung Galaxy Note 2 yanapatikana HAPA

Kama tayari unayo custom recovery kwenye Samsung Galaxy Note II basi unaweza kuendelea na kuifanya Samsung Galaxy Note II iwe kama samsung galaxy note 3.

Baadhi ya picha zikionyesha Samsung Galaxy Note 2 ikiwa na muonekano wa Samsung Galaxy Note 3









Kwa sasa sitaweza kutoa maelekezo kwa kiswahili jinsi ya kuflash DN3 (Ditto Note 3) ROM kwenye Samsung Galaxy Note 2 na kuapata muonekano wa Samsung Galaxy Note 3. Lakini kama wewe unautaalamu wa computer na unaelewa english vizuri basi unaweza kupata maelekezo kwa kingereza hapa http://forum.xda-developers.com/showthread.php?t=2504016
 
Endapo utashindwa basi unaweza kuwasiliana nasi kupitia namba +255716203029 au +255753618318 na tutakusaidia ili kupata muonekano wa Samsung Galaxy Note 3. Gharama ni Tsh 25,000 ttu.

No comments:

Post a Comment