Friday, June 13, 2014

TABLET MPYA KUTOKA SAMSUNG "GALAXY TAB S"


Samsung wanandelea kufanya vizuri kama kawaida yao. Baada ya kutoa samsung galaxy s5 sasa wametoa tablet mpya iliyopewa jina la "galaxy tab s".

Hii ni tab nyepesi na nyembamba kushinda zote ambazo samsung wameshawai kuzitengeneza. Hamini usiamini urefu wake haufiki hata centimeter moja na ina uzito wa 465g.

Baadhi ya vitu vinavyopatikana ndani ya Galaxy Tab S ni

1: Inatumia android mpya kabisa ya 4.4 (kitkat).
2:Kamera ya nyuma ni 8 megapixel na camera ya mbele ni 2.1 megapixel
3:Display yenye ukubwa wa 10.5 au 8.4 inch ambayo ni AMOLED WQXGA resolution ni  2560 X 1600



4:Finger Print technology
5:Inaweza tumia memory card yenye ukubwa hadi 128GB. Inapatikana kwenye 16GB au 32GB.
6: Ina RAM ya 3GB.
Tazama video kujua mengi

No comments:

Post a Comment