Wednesday, July 30, 2014

(APPS) RECYCLE BIN KWENYE SIMU YA ANDROID


Wengi tumezoea kuona recycle bin au trash kwenye computer zetu lakini kwenye upande wa simu hichi kitu kinakosekana. Mda mwingine unaweza ukafuta kitu kwa bahati mbaya kwenye simu yako na ukatamani sana ukirudishe lakini ukawa hauwezi.

Dumster ni app ambayo inakuwa kama recycle bin na utaweza kufuta vitu kwenye simu yako na kuvirudisha endapo utataka kuvitumia.




Kama ungependa kuiweka hii app kwenye simu yako tembelea HAPA.

Kama una swali toa maoni (comment) chini hapo na utajibiwa. Kama umependa kazi yetu usiache kutulike kwenye facebook yetu na follow us kwenye google+ 

No comments:

Post a Comment