Wednesday, July 2, 2014

(MALEKEZO) IFANYE SAMSUNG GALAXY S3 I9300 KUWA KAMA S5


Leo tutaangalia jinsi ya kuifanya Samsung Galaxy S3 I9300 ipate muonekano wa S5 pia iweze kutumia apps za S5. Custom Rom ambayo tutatumia inaitwa Galaxy S5 mini.

Watu wengi sana wanaotumia simu za android huwa hawajua kama unaweza ukaweka custom rom kwenye simu ya android. Unaponunua simu ya android kama Samsung ndani yake kuna stock rom. Navyosema stock rom namaanisha kama computer zinavyokuja na window os.

Kitu kizuri ni kwamba watumiaji wa simu wanaweza wakabadilisha kutoka kwenye stock rom na kutumia custom rom. Custom rom hizi ni rom ambazo zimeongezewa maujanja ili kukupa muonekano mzuri wa simu yako na pia kuongeza ufanisi kwenye simu yako.

Tusiongee sana, angalia picha zikionyesha Samsung Galaxy S3 ikiwa inamuonekano wa S5 na ikitumia apps nyingi za S5.

























NOTE: SITOHUSIKA ENDAPO UTAHARIBU SIMU YAKO.

Kabla ujaflash hii rom unatakiwa uwe na custom recovery kwenye simu yako ya samsung galaxy S3 I9300. Nakushauri sana utumie Philz Touch Recovery.
Kama wewe una custom recovery kwenye simu yako basi tembelea HAPA kuweza kuweka custom recovery kwenye S3 na kisha utaweza kuflash custom rom ambayo itakuwa muonekano wa S5.

MALEKEZO JINSI YA KUIFANYA S3 KUWA KAMA S5

1: Download Galaxy S5 mini rom.  DOWNLOAD

2: Liweke hilo file ambalo ume download kwenye memory card ya simu yako.

3: Zima simu yako kisha iwashe iende kwenye recovery. Tembelea HAPA kujua jinsi ya kuwasha simu kwenye recovery 

4: Make sure you do backup incase things went bad. 

5: wipe cache 

6: wipe data and factory reset

7: Install zip from SD CARD ( sasa hapa nenda kachague lile file amabalo uliliweka kwenye memory card.  Kama ukumbuki tafadhali rudia tena step 2 juu hapo.)

8: Baada ya kumalizika kuji-install basi washa simu yako na utakuwa umefanikiwa kuflash Galaxy S5 Rom kwenye Samsung Galaxy S3.

Kama hujalewa tafadhali usifanye unaweza ukaaribu simu yako. Toa comment kama una swali. Piga +255716203029 au +255753618318 kama ungependa usaidiwe. Gharama zitatozwa  (Tsh 25,000 tu.)

Kama umependa kazi yetu usiache kutulike kwenye facebook yetu na follow us kwenye google+

No comments:

Post a Comment