Tuesday, April 14, 2015

MUONEKANO MZURI NA MPYA WA WHATSAPP


Kama umekuwa ukisubiria kwa hamu na kujiliza maswali mengi kama lini whatsapp itakuwa na muonekano tofauti ambao unavutia kuliko wa sasa, habari nzuri ni kwamba whatsapp imepata muonekano bomba na wenye kuvutia.

Whatsapp version 2.12.38 ambayo ina ukubwa wa 19.63MB imekuwa na muonekano tofauti ambao ni mzuri na unavutia pale ukiwa unatumia whatsapp kuwasilia na marafiki.


Picha chini zinaonyesha muonekano huo mpya wa whatsapp







Unaweza tembelea playstore yako ili kuweza ku-update whatsapp. Endapo kwenye playstore ikikuonyesha hamna update ya whatsapp basi unaweza download kwa kupitia link chini

Usiache ku like our facebook page pia unaweza kutufwata kwenye instagram kupitia #phonetricktz

No comments:

Post a Comment