Saturday, June 6, 2015

SAMSUNG GALAXY S6 EDGE IRON MAN EDITION (VIDEO)


Samsung Galaxy S6 Edge ni smartphone ambayo imejizolea umarufu mkubwa hasa pale unapo zungumzia umbo lake. Jina la Galaxy S6 Edge limetokana na umbo la hiyo simu pamoja na kioo chake.

Samsung wameamua kwenda mbali zaidi na kuzindua simu nyingine ambayo imepewa jina la Samsung Galaxy S6 Edge Iron Man Edition. Kwa wale wanaotazama movie wengi watakuwa wanajua movie za Iron Man. Kwa sasa hii simu inapatikana South Korea, China na Hong Kong.






Simu imerembwa na rangi nyekundu na pembeni imezungushiwa gold. Simu pia inakuja na wireless charger pamoja na accessories kama earphone, charger etc







No comments:

Post a Comment