Wednesday, February 17, 2016

GALAXY S7 NA S7 EDGE ZITAKUWA HAZIINGIZI MAJI (WATER RESISTANCE)

Kwa wale wapenzi wa simu za Samsung wengi wana kiu kubwa ya kujua jinsi Galaxy S7 itakavyo kuwa. Samsung wameamua kutoa siri moja ambayo itakuwa kwenye toleo la Galaxy S7 na S7 Edge.

Samsung wameachia tangazo kwenye branch yao ya indonesia ikionyesha Galaxy S7 ikiwa inatumia kwenye kwenye mvua kali. Hii ina maanisha kuwa Galaxy S7 na S7 Edge zitakuwa water resistance.

Unaweza tazama video hiyo chini

No comments:

Post a Comment