Simu za android zina mambo mengi sana na kama wewe ni mtu mdadisi basi unaweza kuifanya simu yako ikawa ya kipee kabisa. Leo tutaona ujanja ambao utakusaidia kufanya vitu kwenye simu yako viwe vidogo au viwe vikubwa sana kulingana na wewe unavyopenda.
Ili uweze kufanya vitu kwenye simu yako viwe vidogo au vikubwa unatakiwa tayari uwe ume root simu yako. Kama simu yako hauja root hautaweza kufanya chochote.
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.estrongs.android.pop&hl=en
ro.sf.lfc_density=390
ro.sf.lfc_density=350
ro.sf.lfc_density=490
ro.sf.lfc_density=450
Mpaka hapo tumefikia mwisho. Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram kupitia jina la phonetricktz
Ili uweze kufanya vitu kwenye simu yako viwe vidogo au vikubwa unatakiwa tayari uwe ume root simu yako. Kama simu yako hauja root hautaweza kufanya chochote.
JINSI YA KUFANYA VITU VIONEKANE VIKUBWA AU VIDOGO KWENYE SIMU YAKO YA ANDROID
STEP 0
Download Es File explorer kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako.https://play.google.com/store/apps/details?id=com.estrongs.android.pop&hl=en
STEP 1
Fungua Es Explorer kisha slide kwenda kulia ili kupata side menu kama picha chiniSTEP 2
Shuka chini kabisa mpaka utakapoona kipengele kinachoitwa root explorer. Hakikisha una kiwasha hicho kipengele kama picha inavyo onekana chiniSTEP 3
Endapo utapata ujembe unaofanana kama picha chini basi hakikisha unabonyeza kipengele kinacho sema grantSTEP 4
Juu kabisa utaona kimshale cheupe pembeni ya Homepage. Kibonyeze kisha chagua kipengele kinacho sema device. Ndani ya device utaona ma folders mengi, tafuta folder linaloitwa system. Ndani ya system folder chini kabisa utaona file linaloitwa build.prop kama picha inavyo onekana chiniSTEP 5
Bonyeza file la build.prop kisha chagua Es Note editor kisha utapata muonekano kama picha chiniSTEP 6
Bonyeza alama ya kalamu iliyopo juu kabisa kisha tafuta mstari unaosema ro.sf.lfc_density=420 kama picha inavyo onekana chiniSTEP 7
Endapo unataka vitu kwenye simu yako vionekane vidogo unachotakiwa kufanya ni kupunguza namba 420 na kuifanya iwe ndogo mfanoro.sf.lfc_density=390
ro.sf.lfc_density=350
STEP 8
Endapo unataka vitu kwenye simu yako vionekane vikubwa unachotakiwa kufanya ni kuongeza namba 420 na kuifanya iwe kubwa mfanoro.sf.lfc_density=490
ro.sf.lfc_density=450
STEP 9
Bonyeza mshale wa kurudi nyuma uliopo juu kushoto kisha utapata muonekano kama picha chiniSTEP 9
Bonyeza yes kisha zima na kuwasha simu yako. Utagundua vitu kwenye simu yako vimebadilika na vimekuwa jinsi unavyo taka.Mpaka hapo tumefikia mwisho. Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram kupitia jina la phonetricktz
No comments:
Post a Comment