Siku chache zilizopita tuliongelea jinsi ya kuweka android 6.0.1 kwenye Samsung Galaxy S5. Leo tutaendelea mbele na tutaona jinsi ya kuifanya Samsung Galaxy S5 iwe kama Galaxy S7. Na maanisha kwamba Galaxy S7 yako itakuwa inatumia apps zote zilizopo kwenye Galaxy S7 kama always on display, Themes, Edge Screen na mambo mengine mengi.
http://phonetricktz.blogspot.com/2015/11/jinsi-ya-kuweka-custom-recovery-kwenye.html
http://phonetricktz.blogspot.com/2016/05/jinsi-ya-ku-update-samsung-galaxy-s5.html
https://mega.nz/#!MlJmCJgB!3p_VNJ7kmio7-2pDa9KCdNfDfl03pQaD4lCveEBb3BE
Tazama baadhi ya screenshot zinazo onyesha jinsi simu yako itakavyokuwa baada ya kuweka Norma Rom ili kuifanya ifanane na Galaxy S7
Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unataka kusaidiwa kubadilisha Samsung Galaxy S5 iwe kama Galaxy S7 Edge unaweza kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255652732383.Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au unaweza like facebook yetu.
JINSI YA KUIFANYA SAMSUNG GALAXY S5 KUWA KAMA GALAXY S7 EDGE
Vigezo na Masharti
- 0: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako
- 1: Hakikisha simu yako ni Samsung Galaxy S5
- 2: Hakikisha simu yako ina charge kuanzia 70%
- 3: Hakikisha simu yako inatumia snapdragon processor.
STEP 0
Hakikisha kwenye simu yako ya Galaxy 5 tayari umeweka custom recovery. Kama bado tembelea link chini kujua jinsi ya kuweka custom recovery kwenye Galaxy S5http://phonetricktz.blogspot.com/2015/11/jinsi-ya-kuweka-custom-recovery-kwenye.html
STEP 1
Hakikisha simu yako ya Galaxy S5 inatumia android 6.0.1. Kama bado ujaweka android 6.0.1 kwenye Galaxy S5 tembelea link chini kujua jinsi ya kuweka android 6.0.1 kwenye Galaxy S5.http://phonetricktz.blogspot.com/2016/05/jinsi-ya-ku-update-samsung-galaxy-s5.html
STEP 2
Download Norma rom kwa kutumia link chini kisha iweke kwenye memory card ya simu yakohttps://mega.nz/#!MlJmCJgB!3p_VNJ7kmio7-2pDa9KCdNfDfl03pQaD4lCveEBb3BE
STEP 3
Washa simu yako kwenye recovery kisha nenda kwenye kipengele cha backup. Backup simu yako kwenye memory card. Baada ya kumaliza backup, nenda kwenye kipengele cha wipe na hakikisha una factory data reset.STEP 4
Nenda kwenye kipengele cha install kisha chagua lile file ulilo download kwenye Step 2 ambalo linaitwa NORMA.V1.0.MM.zipSTEP 5
Baada ya simu yako kumaliza ku install simu yako itajiwasha. Hakikisha una subiri kama dakika 8 maana simu yako itachelewa kuwaka.Tazama baadhi ya screenshot zinazo onyesha jinsi simu yako itakavyokuwa baada ya kuweka Norma Rom ili kuifanya ifanane na Galaxy S7
Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unataka kusaidiwa kubadilisha Samsung Galaxy S5 iwe kama Galaxy S7 Edge unaweza kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255652732383.Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au unaweza like facebook yetu.
No comments:
Post a Comment