Tuesday, August 30, 2016

JINSI YA KUWEKA PICHA KWENYE GOOGLE KEYBOARD

Google Keyboard ni moja ya keyboard maarufu sana kwenye simu za android. Google wanazidi kuifanya Google Keyboard kuwa ya kipekee kabisa hasa pale unapoweza kuweka picha kama background. Pia Google Keyboard inakuja na themes ambazo zitakupa muonekano mzuri pale unapotumia Google Keyboard

Leo tutaona jinsi ya kuifanya Google Keyboard kuwa na muonekano wa kijanja kwenye simu yako ya android.

STEP 0

Download Google Keyboard kwa kutumia link chini kisha install kwenye simu yako ya android
https://play.google.com/store/apps/details?id=com.google.android.inputmethod.latin&hl=en

STEP 1

Ifungue Google Keyboard kisha kamilisha maelekezo yote ambayo yanaitajika. Baada ya kumaliza utapata Google Keyboard Settings kama kwenye picha chini

STEP 2

Nenda kwenye kipengele cha Theme kisha utapata muonekano kama picha chini

STEP

Kama unataka kuweka picha yako unayoipenda basi bonyeza sehemu inayosema My Image kisha chagua picha unayotaka. Kwa mfano mimi nimetumia picha chini kama background yangu

1 comment: