Thursday, September 15, 2016

JINSI YA KU ROOT TECNO Y3+ KWA KUTUMIA COMPUTER

Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta jinsi ya ku root Tecno Y3+ ambazo zimekuwa zikuuzwa na kampuni ya Tigo. Leo tutaona jinsi ya Ku root Tecno Y3+ kwa kutumia computer.

Tecno Y3+ imefanikiwa kuwa rooted kwa kutumia computer pamoja na program ya Kingo Root. Soma maelekezo chini ili kujua jinsi ya ku root Tecno Y3+

JINSI YA KU ROOT TECNO Y3+ KWA KUTUMIA COMPUTER

Vigezo na Masharti

  • 0: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako
  • 1: Hakikisha simu yako ni Tecno Y3+
  • 2: Computer inayotumia windows
  • 3: Hakikisha simu yako ina charge kuanzia 70%
  • 4: Hakikisha umeweka vcom driver kwenye computer yako
  • 5: Soma maelekezo yote kwa makini kisha ndio ujaribu kwenye simu yako

STEP 0

Hakikisha tayari umeweka vcom driver kwenye computer yako inayo tumia windows kama bado tembelea link chini kujia jinsi ya kuweka vcom driver kwenye computer yako
https://thebroodle.com/microsoft/windows/how-to-install-mtk65xx-preloader-usb-vcom-drivers-in-windows/

STEP 1

Download Kingo Root kwa kutumia link chini kisha install kwenye computer yako.
https://www.kingoapp.com/android-root/download.htm

STEP 2

Kwenye simu yako ya Tecno Y3+, hakikisha usb debugging ipo On. Kama hujui usb debugging inapatikana wapi kwenye basi nenda kwenye Settings kisha nenda kwenye kipengele cha Developer Options halafu utaona kipengele cha Usb Debugging.

STEP 3

Fungua Kingo Root kwenye computer yako kisha chomeka usb kwenye simu yako halafu chomeka kwenye computer. Endapo utakuwa umefwata maelekezo vizuri basi utapata muonekano kama picha kwenye computer yako

STEP

Bonyeza(click) sehemu iliyoandikwa Root kwenye computer yako kisha subiri mpaka utakapopata ujumbe kama kwenye picha chini

STEP

Mpaka hapo utakuwa umefanikiwa ku root simu yako ya Tecno Y3+. Kwa wale wenye shida zozote kuhusu simu zao unaweza kuwasiliana nasi kupitia whatsapp +255627732383.

Kama umependa kazi zetu na unataka tuzidi kusonga mbele basi usiache kutu follow kwenye instagram yetu yenye jina la phonetricktz

No comments:

Post a Comment