Tuesday, September 13, 2016

JINSI YA KUFANYA SAMSUNG GALAXY S5 KUWA KAMA NOTE 7

Note 7 ni toleo jipya kutoka Samsung. Kama tunavyojua kila toleo la Samsung huwa linakuja na mambo mengi mazuri pamoja na muonekano tofauti. Kwenye upande wa software, Note 7 imekuja na mfumo mpya ulio pewa jina la Grace UI.

Leo tutajifunza jinsi ya kuifanya Galaxy S5 kuwa kama Note 7. Hii ina maanisha kwamba vitu vilivyopo kwenye Note 7 kama message application, call application, contants application, music application, Video application na vingine vingi utaweza kuvitumia kwenye Galaxy S5.

JINSI YA KUIFANYA SAMSUNG GALAXY S5 KUWA KAMA GALAXY NOTE 7

Vigezo na Masharti

  • 0: Mimi sitahusika endapo utaaribu simu yako
  • 1: Hakikisha simu yako ni Samsung Galaxy S5
  • 2: Hakikisha simu yako ina charge kuanzia 70%
  • 3: Hakikisha simu yako inatumia snapdragon processor.
  • 4: Uelewa wa computer unaitajika

STEP 0

Hakikisha kwenye simu yako ya Galaxy 5 tayari umeweka custom recovery. Kama bado tembelea link chini kujua jinsi ya kuweka custom recovery kwenye Galaxy S5
http://phonetricktz.blogspot.com/2015/11/jinsi-ya-kuweka-custom-recovery-kwenye.html

STEP 1

Hakikisha simu yako ya Galaxy S5 inatumia android 6.0.1. Kama bado ujaweka android 6.0.1 kwenye Galaxy S5 tembelea link chini kujua jinsi ya kuweka android 6.0.1 kwenye Galaxy S5.
http://phonetricktz.blogspot.com/2016/05/jinsi-ya-ku-update-samsung-galaxy-s5.html

STEP 2

Download Norma rom kwa kutumia link chini kisha iweke kwenye memory card ya simu yako
http://click.xda-developers.com/api/click?format=go&jsonp=vglnk_147375218530112&key=f0a7f91912ae2b52e0700f73990eb321&libId=it15zsqi01000n4o000DAk3wigtgs&loc=http%3A%2F%2Fforum.xda-developers.com%2Fgalaxy-s5%2Fdevelopment%2Fnorma-v1-nfc-note7-port-galaxy-s5-t3453965&v=1&out=https%3A%2F%2Fmega.nz%2F%23!kJtgjBCB!saGFsgUUP_MN5AWP0Tg8YC00ATBzcIkaw4ocv0H5TDo&ref=http%3A%2F%2Fforum.xda-developers.com%2Fgalaxy-s5&title=Norma%20V2.5%20%7CNFC%7C%20Note7%20Port%20for%20All%20Galaxy%20S%E2%80%A6%20%7C%20Samsung%20Galaxy%20S%205&txt=https%3A%2F%2Fmega.nz%2F%23!kJtgjBCB!saGFsgUUP...Ikaw4ocv0H5TDo

STEP 3

Washa simu yako kwenye recovery kisha nenda kwenye kipengele cha backup. Backup simu yako kwenye memory card. Baada ya kumaliza backup, nenda kwenye kipengele cha wipe na hakikisha una factory data reset.

STEP 4

Nenda kwenye kipengele cha install kisha chagua lile file ulilo download kwenye Step 2 ambalo linaitwa Norma V2b Rebuild B…QUAN93.zip

STEP 5

Baada ya simu yako kumaliza ku install simu yako itajiwasha. Hakikisha una subiri kama dakika 8 maana simu yako itachelewa kuwaka.

Tazama baadhi ya screenshot zinazo onyesha jinsi simu yako itakavyokuwa baada ya kuweka Norma Rom ili kuifanya ifanane na Galaxy Note 7









Mpaka hapo tumefikia mwisho, kama unataka kusaidiwa kubadilisha Samsung Galaxy S5 iwe kama Galaxy S7 Edge unaweza kuwasiliana nasi kupitia whatsapp namba +255652732383.Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ambayo ni phonetricktz au unaweza like facebook yetu.

No comments:

Post a Comment