Instagram ni moja ya mtandao wa kijamii ambao unatumiwa na watu zaidi ya billioni moja. Kwenye playstore peke yake instagram imekuwa downloaded zaidi ya mara billioni moja.
Watu wengi wanatumia instagram kila siku lakini yapo mambo mengi mapya ambayo wengi wetu bado hatuja yafahamu. Leo ntaelezea mambo matano mapya ambayo instagram wameanzisha ndani ya mwaka 2017 na baadhi ni ya mwaka 2016.
Sasa kwenye Instagram utaweza kujichukua au kuji record live na watu ambao wame kufollow wakawa wanakuona live. Watu wataweza ku comment huku video yako ikiwa live.
Stories ni kitu ambacho watu wengi sana wanasema Instagram ame copy kutoka snapchat. Stories inakusanya matukio yako yote ya siku moja na watu wanaweza wakaona vitu vyote ulivyofanya siku nzima kwa pamoja.
https://phonetricktz.blogspot.com/2015/05/jinsi-ya-kutumia-account-mbili-za.html
Mpaka hapo tumefikia mwisho, Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ya phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu
Watu wengi wanatumia instagram kila siku lakini yapo mambo mengi mapya ambayo wengi wetu bado hatuja yafahamu. Leo ntaelezea mambo matano mapya ambayo instagram wameanzisha ndani ya mwaka 2017 na baadhi ni ya mwaka 2016.
Live Stories
Sasa kwenye Instagram utaweza kujichukua au kuji record live na watu ambao wame kufollow wakawa wanakuona live. Watu wataweza ku comment huku video yako ikiwa live.
Saved Post
Instagram inatumbua kwamba watu wapo busy, sasa inakupa uwezo wa ku save post ambayo ungependa uje uingalie baadae. Ku save post ni kitu rahisi sana. Unacho takiwa kufanya ni kubonyeza alama ya bookmark ambayo inakuwa chini ya post. Tazama picha chini kuelewa zaidiInstagram Strories
Stories ni kitu ambacho watu wengi sana wanasema Instagram ame copy kutoka snapchat. Stories inakusanya matukio yako yote ya siku moja na watu wanaweza wakaona vitu vyote ulivyofanya siku nzima kwa pamoja.
Event Channels
Sasa unaweza kucheck matukio kama concert za wasanii mbalimbali kupitia instagram. Hii channel inakusanya video kali kutoka kwenye matamasha mbalimbali. Kwa sasa Event Channel inaonekana kwa watu wa marekani tu. Instagram wanajitahidi kuisambaza event channels ziweze kuonekana ulemwenguni kote.Account Mbili
Kujua kuhusu account mbili za instagram unaweza tembelea link chinihttps://phonetricktz.blogspot.com/2015/05/jinsi-ya-kutumia-account-mbili-za.html
Mpaka hapo tumefikia mwisho, Kama umependa kazi zetu usiache kutufwata kwenye instagram yetu ya phonetricktz au bonyeza picha chini kutembelea instagram yetu
No comments:
Post a Comment